Habari ndugu yangu.
Karibu Dawaasili.co.tz, Kupitia post hii leo utajifunza kuhusu tezi dume
Tezi dume ni kitu gani?
Tezi dume ni ugonjwa unaofanyika katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo, chembechembe hai katika tezi ya kiume hukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume baadae hutengeneza uvimbe ndani ya tezi dume.
Tiba na dawa ya tezi dume:
ili kujitibu kutokana na matatizo ya tezi dume tumia tiba za dawa zetu asili kama vile GOODCARE na PROSTATE tiba.

- Tiba hii ni Mujarrabu sana hata kwa tezi dume ya aina gani.
Kwa taaluma zinazohusu tiba kwa njia asili, endelea kufuatilia mada zetu pia usisahau kuwashirikisha wengine ili nao wapate faida hii,
kwa kubonyeza vitufe vya mitandao ya kijamii hapo pembeni au chini.
Pia Blog yetu inazo dawa za asili zenye ubora na tunasarisha kote Tanzania,
bei zake ni nafuu na zina matokeo mazuri sana.
Kupata dawa zetu bonyeza hapa . Kisha fata maelekezo ya kununua.
Ahasante kwa kuwa nasi.