Sale!
HEART BEAT – Dawa ya Asili ya Matatizo ya Moyo | Tiba ya Mapigo Yasiyo ya Kawaida & Shinikizo la Damu
Sh10,000.00
HEART BEAT ni dawa ya asili inayosaidia kutibu na kudhibiti matatizo ya moyo kama vile mapigo yasiyo ya kawaida, shinikizo la juu la damu, na msukumo hafifu wa damu. Husaidia kuimarisha mzunguko wa damu, kupunguza hatari ya mshtuko wa moyo, na kuupa moyo nguvu ya kufanya kazi kwa ufanisi. Ni tiba salama isiyo na madhara ya kemikali.
Description
HEART BEAT
Ni mchanganyiko wa dawa za asili inayotibu maradhi yafuatayo:
- moyo kwenda mbio
- kukontrol na kutibu presha ya kupanda na kushuka
- kutia joto katika mishipa ya damu
- kuupa mwili nguvu
MATUMIZI
Wakubwa kijiko kikubwa 2×2
Watoto 1×2


Reviews
There are no reviews yet.