Sale!

GENERAL BODY SYSTEM – Suluhisho la afya kwa mfumo wa mwili kwa ujumla

Sh10,000.00

General Body System ni dawa ya asili inayosaidia kutibu na kurekebisha matatizo mbalimbali ya mwili. Inaimarisha kinga ya mwili, huondoa sumu, na kusaidia kurejesha afya kwa wale wanaosumbuliwa na uchovu sugu, maumivu ya mwili, na matatizo ya mfumo wa ndani wa mwili.

Description

GENERAL BODY SYSTEM – dawa hii ya asili hutibu matatizo yafuatayo:

  • hutoa sumu mwilini zinazosababishwa ni kemikali za vinywaji na vyakula
  • hutibu ngiri aina zote
  • huondoa maumivu ya mgongo,miguu kuuma kwa kuwaka moto
  • chango kwa kina mama, tumbo kuuma chini ya kitovu, kiuno, hedhi zisizokuwa na mpangilio
  • hutibu malaria na typhod
  • hutibu minyoo aina zote
  • kichwa kuuma na kipanda uso
  • kifua kuuma, kikohozi na mafua
  • vichomi mwilini
  • kaswende, gono na kichocho
  • huongeza nuru ya macho

matumizi
wakubwa: vijiko vikubwa 2×2 kwa siku

watoto chini ya miaka 5: vijiko vidogo 2×2 kwa siku

Soma Makala zetu mbali mbali kuhusu magonjwa na tiba.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “GENERAL BODY SYSTEM – Suluhisho la afya kwa mfumo wa mwili kwa ujumla”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

chati nasi kupitia whatsapp
#
Agent (Online)
×

Karibu dawaasili, chati nasi kupiti whatsap