Sale!
P.I.D – ( Pelvic inflammatory diseases)- Dawa asili ya maambukizi ya mfumo wa uzazi kwa wanawake
Sh10,000.00
P.I.D : ni dawa ya asili inayosaidia kutibu matatizo ya wanawake kama maambukizi ya mfumo wa uzazi (Pelvic Inflammatory Disease), uchafu ukeni, maumivu ya tumbo la chini, hedhi isiyo ya kawaida, na harufu mbaya ukeni. Husaidia kuondoa bakteria na kuimarisha afya ya uzazi kwa ujumla.
Description
Hii ni dawa ya asili yenye kutibu maradhi ya p.i.d(fangas) na maradhi kama ifuatavyo:
- kuondoa miwasho katika njia ya uzazi
- kutibu fangasi za uzazi
- kukausha majimaji na kuondoa harufu mbaya kwenye uzazi
- kupata maumivu makali chini ya kitovu wakati wa hedhi
- maumivu ya nyonga, kiuno na mgongo
- uke kuwa mkavu na kukosa raha ya tendo la ndoa
MATUMIZI
kijiko kikubwa 2×2 kwa siku



Reviews
There are no reviews yet.