Sale!
BRAHMI Mind wellness – dawa asilia ya magonjwa ya akili na msongo wa mawazo
Sh20,000.00
Brahmi: ni dawa ya asili inayosaidia kutibu na kudhibiti magonjwa ya akili kama msongo wa mawazo (stress), wasiwasi (anxiety), kupoteza kumbukumbu, na kushuka kwa uwezo wa kufikiri. Inasaidia kuboresha utulivu wa akili, kuongeza umakini, na kuimarisha afya ya ubongo kwa ujumla.
Description
BRAHMI Mind wellness:
Ni dawa maalum inayosaidia na kutibu matatizo m,balimbali ya akili( magonjwa ya akili)
MATUMIZI:
2X2 kwa siku

Brahmi ni dawa ya asili inayosaidia kutibu na kudhibiti magonjwa ya akili kama msongo wa mawazo (stress), wasiwasi (anxiety), kupoteza kumbukumbu, na kushuka kwa uwezo wa kufikiri. Inasaidia kuboresha utulivu wa akili, kuongeza umakini, na kuimarisha afya ya ubongo kwa ujumla.


Reviews
There are no reviews yet.