Sale!

ARTHRITIS PLUS – Dawa ya Asili ya Maumivu ya Viungo | Tiba ya Uvimbe, Ukakamaa & Baridi Yabisi

Sh10,000.00

ARTHRITIS PLUS ni dawa ya asili inayotibu maumivu ya viungo, mishipa na misuli. Inasaidia kupunguza uvimbe, kuondoa ukakamaa wa viungo, na kurejesha uwezo wa kusogea kwa urahisi. Imeundwa kwa mimea tiba isiyo na kemikali, na inafaa kwa wagonjwa wa arthritis, baridi yabisi, na matatizo ya viungo ya muda mrefu.

Description

ARTHRITIS PLUS

Ni mchanganyiko wa dawa za asili na kisunnah ambayo ina uwezo wa kutibu maradhi yafuatayo:

  • kutibu maradhi na kuondoa maumivu ya mgongo
  • kuondoa maumivu ya kiuno
  • kuongeza nguvu za mwili
  • kulainisha uteute kwenye joints

matumizi
Wakubwa: kijiko kikubwa 2×2

Watoto: 1×2

Soma Makala zetu mbali mbali kuhusu magonjwa na tiba.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “ARTHRITIS PLUS – Dawa ya Asili ya Maumivu ya Viungo | Tiba ya Uvimbe, Ukakamaa & Baridi Yabisi”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

chati nasi kupitia whatsapp
#
Agent (Online)
×

Karibu dawaasili, chati nasi kupiti whatsap