DAWA YA VIDONDA VYA TUMBO SUGU – STOMUCH ULCERS

Ndugu yangu, karibuhttps://dawaasili.co.tz

Vidonda vya tumbo (gastritis) ni miongoni mwa magonjwa ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula katika mwili wa binadamu. Huo ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi sana duniani na huwapata sana sana watu wazima kuliko watoto.

Chanzo Cha Vidonda vya Tumbo

Chanzo kinaweza kuwa kongosho, tezi inayojihusisha na masuala ya mmeng’enyo wa chakula. Kongosho hutoa baadhi ya vimeng’enya kama asidi ili kusaidia kumeng’enya chakula kwa urahisi lakini inaposhindwa kupima kiasi cha asidi na kuzitoa nyingi mno utaandamwa na vidonda vya tumbo.

Tindikali hizo zinazopatikana ndani ya tumbo humwagika kwa muda ambao tumbo limezoea kupokea chakula. Mtu anapokaa muda mrefu bila kula tindikali hizo humwagika tu na kukuta tumbo likiwa halina chakula, hivyo huanza kuchubua ukuta wa tumbo.

Chanzo kingine cha ugonjwa huo ni mawazo: mtu akiwa na msongo wa mawazo yupo kwenye hatari ya kupata vidonda vya tumbo

Dalili na tiba

Baadhi ya dalili za ugonjwa huo ni

  • maumivu makali ya tumbo na tumbo kuwaka moto baada ya kula baadhi ya vyakula kama dagaa, mimea ya jamii ya mikunde hasa maharagwe, pia pilipili.
  • kizunguzungu
  • kushindwa kupumua,
  • tumbo kujaa gesi,
  • kufunga choo,
  • kukosa hamu ya tendo la ndoa,
  • kuharibika kwa mimba, 
  • homa isiyopona, 
  • UTI sugu,
  • choo chenye mchangayiko wa damu,
  • kutapika damu,
  • kupungukiwa damu, 
  • maumivu ya mgongo na misuli, 
  • kichomi,
  • maumivu ya kichwa, 
  • kichefuchefu, kushindwa kula baadhi ya vyakula.

Ugonjwa huo unapozidi kushamiri husababisha pia kupata haja kubwa iliyochanganyika na damu, pia kukosa hamu ya kula chakula na kujisikia kama kutapika pindi tindikali inapokuwa inamwagika tumboni.

Endapo mgonjwa hatapata matibabu kwa wakati kutapelekea kutapakaa kwa tindikali mwilini na kunaweza kuwa chanzo cha magonjwa ya kisukari, ini, moyo, figo, ugumba na Saratani. Athari kuu ya vidonda vya tumbo vinaposhamiri ni kuwa husababisha kifo.

STOMACH ULCERS – Ni mchanganyiko wa kipekee wa dawa za asili wenye nguvu za kuua helicobacter pylori (chanzo kikuu cha vidonda vya tumno) na kutibu vidonda vya tumbo sugu, maumivu makali ya tumbo, tumbo kuwaka moto na kuzuia tindikali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

chati nasi kupitia whatsapp
#
Agent (Online)
×

Karibu dawaasili, chati nasi kupiti whatsap