Dawa ya kutibu uvimbe (Fibroids)

Habari ndugu yangu! karibu dawaasili.co.tz Fibroids au uvimbe ndani ya kizazi cha mwanamke, ni uvimbe wa misuli laini wenye mizizi ya kuiunganisha, unaoota na kukua kwenye nyumba ya uzazi (uterus).…

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Sababu za pungufu wa nguvu za kiume, na suluhisho la kudumu la tatizo hili , pamoja na dawa za asili zilizothibitika kutibu kwa haraka.

Uzazi wa mpango kwa kutumia kalenda

Kufahamu kuhusu siku za kushika mimba ni muhimu sana kwa wale wanaotaka kupata mtoto na pia wale wanaotaka kudhibiti uzazi, Kupitia chapisho hili, nitakujuza hatua kwa hatua ni kwa jinsi…

DAWA YA VIDONDA VYA TUMBO SUGU – STOMUCH ULCERS

Ndugu yangu, karibuhttps://dawaasili.co.tz Vidonda vya tumbo (gastritis) ni miongoni mwa magonjwa ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula katika mwili wa binadamu. Huo ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi sana duniani na huwapata sana sana watu wazima kuliko watoto. Chanzo Cha Vidonda vya Tumbo Chanzo…

U.T.I – Dawa ya matatizo/magonjwa ya U.T.I

Habari ndugu, karibudawasili.co.tz 📌 U.T.I ni nini? U.T.I (Urinary Tract Infection) ni maambukizi yanayotokea kwenye sehemu yoyote ya mfumo wa mkojo — ambayo ni: Figo Ureter (mrija wa kupeleka mkojo…

UZAZI – Suluhisho la magonjwa Sugu ya Kina mama

Maelezo mchanganyiko wa dawa kubwa za asili zinazotibu maradhi sugu ya kina mama (mwanamke)– > kusafisha mfumo wa uzazi–> kizibua mirija ya uzazi-> kuondoa uvimbe kwenye mfuko wa uzazi-> hedhi…

Rijaal – dawa ya kurejesha nguve za kiume

rijaaltikisa kwanza kabla ya kutumia tatizo la kuishiwa nguvu za kiume husaba bishwa wingi wa mafuta mwilini kitaalamu ina itwa kolestol na piahuleta madhara ya ugonjwa wa moyo kisukari namaranyingi…

TANGAWIZI NIKIUNGO NA TIBA KWAUJUMLA

TANGAWIZI ni kiungo kinachotokana na mizizi ya mmea wa tangawizi. Mmea huu unafanana na binzari ikiwa bado haijamenywa maganda yake. Kwa hapa Tanzania, hulimwa zaidi katika mikoa ya nyanda za…

TEZI DUME

Habari ndugu yangu. Karibu Dawaasili.co.tz, Kupitia post hii leo utajifunza kuhusu tezi dume Tezi dume ni kitu gani? Tezi dume ni ugonjwa unaofanyika katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika…

Njia za uzazi wa mpango wa asili

UZAZI WA MPANGO KWA NJIA ZA UZAZI WA ASILI “BILLINGS OVULATION ME”Ili kujifunza njia hii vizuri, ni vyema kuvifahamu vizuri viungo vya uzazi vya mwanamke na jinsi vinavyofanya kazi. Viungo…

chati nasi kupitia whatsapp
#
Agent (Online)
×

Karibu dawaasili, chati nasi kupiti whatsap